Habari za Punde

Mdau Mambo ya Maji ya Rangi Michenzani hayo.

 Mdau unakumbuka zile enzi za maji haya yalivyokuwa? nsa kujaza watoto wengi katika maeneo haya kwa kutazama maji ya ragi yalivyokuwa yakipendeza kwa rangi mbalimbali na kupamba  Magorofa ya michezani na round abuot hiyo.  

2 comments:

  1. je majumbani yanatoka kaka ?

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha Na hilo nalo neno.

    Haya yakishajaa huwa yanahifadhiwa. Lakini ya majumbani yakishatumiwa hupotea kaka. Tutafika lakini..

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.