Habari za Punde

Mdau Tujuze Saa hii Iko Wapi?

Mdau unaijuwa saa hii iko wapi na mahali gani katika Zenj........... Kazi kwako.


Naona wengi wamejaribu kuaguwa ilipo Saa hii na wengi wao wamedhani saa hii iko Mahakama Kuu na baadhi wamefikiria iko Shangani Posta.
Kwa bahati nzuri au mbaya majibu yote haya ni ajwar si sahihi.


Saa hii ipo Uwanja wa Ndege wa Zamani baada ya Kufanyiwa ukarabati mkubwa.
Shukran kwa Kujaribu 

7 comments:

  1. Hii ni mahakamaniau vipi? Lakini nakumbuka saa ya mahakamani haikuwa hivi. Kwahiyo ama nimechemsha au hii saa imebadilishwa na kuwekwa nyengine.
    Mdau
    USA

    ReplyDelete
  2. Mahakamani. Vuga.

    ReplyDelete
  3. siujui ipo mahali gani bali sio mahakama ya vuga.
    Mahakama ya vuga sikumbuki kuwa na 'chiping'

    ReplyDelete
  4. may be posta kuu shangani

    ReplyDelete
  5. Hii ipo mahakama kuu Vuga just imefanyiwa marekebisho tu huo mjengo uliochoka haujabadilika hahaha home sweet home

    ReplyDelete
  6. Post office ya Shangani

    ReplyDelete
  7. Hii saa ipo Mahakma ya Vuga Zanzibar
    CHA ajabu ukii zoom hii picha chini kabisa katika mapambo yake kuna STAR OF DAVID.
    Je sisi Zanzibar tuna au tulikuwa na uhusiano gani na Mayahudi hata ikawa mapsmbo mengi yana alama hizo?
    Mfano mwengine ni pale People's Palace Forodhani juu kabisa kuna alama kama hiyo

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.