Wananchi wa Shehia ya Kibweni wakisubiria kuaza kwa zoezi la ugawaji wa vyandarua katika shehia yao, nyumbani kwa sheha wa kibweni leo.
Wananchi wa shehia ya Rahaleo wakiwa katika foleni kuchukuwa vyandarua kwa ajili ya kujikinga na maradhi ya Malaria, wakiwa katika Klabu ya Ujamaa.
Ofisa wa zoezi la ugawaji wa Vyandarua akitowa vyandarua kwa mwananchi wa shehia Rahaleo.
Watoto hawa wakiwa na furaha baada ya kupata vyandarua na huku wakisema sasa malaria sasa basi na kuliwa na mbu.
No comments:
Post a Comment