Habari za Punde

Dk Shein Azindua Kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wajumbe wa kamati ya Rais ya Mfuko wa Uwezeshaji,wakati wa uzinduzi Kamati hiyo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.AliMohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Rais ya Mfuko wa Uwezeshaji,baada ya kuizindua rasmi leo Ikulu Mjini
Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.