Habari za Punde

Mambo ya Kutafuta Mloo Huuuoo.

Mdau huyu Kondoo unajuwa kilichomsibu na kuwa hivi ? Mdau ilikuwa ni kazi ya kutafuta mloo katika moja ya jaa huko maeneo ya Daraja bovu.
 Ndio likamkuta hilo la kumkuta na kutumbukia katika pakacha hilo wakati akitafuta msosi  na hatimai kumfunika kichwa chote, na kuhangaika huku na kule na hatimai kutokea msamaria mwema kumtoa katika  kadhia hiyo ambayo,amedumu nalo kwa takriba nusu saa hivi ndivyo akapata afueni ya kuondoshwa pakacha hilo osoni na kuendelea na safari zake za kutafuta riziki.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.