Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk.Shein, Azungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Zanzibar.

 
 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya Zanzibar na Tanzania Ikulu Zanzibar.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad,na Mawaziri wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk. AliMohamed Shein akizungumza na Waandishi Ikulu Zanzibar.



 Mawaziri wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari Ikulu Zanzibar
 Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi Ikulu Zanzibar.

 Mwandishi  habari Salim Said  akiuliza swali kwa Rais wa Zanzibar wakati wa Mkutano na Waandishi Ikulu Zanzibr leo.
 Mdau wa habari Farouk Karim akiuliza swali wakati wa Mkutano na Waandishi na Rais wa Zanzibar.
  Mwandishi Mwantanga Ame alipata fursa ya kuuliza suwali katika Mkutano  wa Waandishi na Rais wa Zanzibar.
Mhariri Manyerere akiuliza suali kwa Rais wa Zazibar wakati wa mkutano na Wahariri na Waandishi wa habari Ikulu Zanzibar.
 Wadau wa mnato wakiwa makini kunasa kila kitu katika Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Waandishi wa Habari uliofanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi baada ya kumaliza Mkutano wake na Wadau wa habari Ikulu Zanzibar.

1 comment:

  1. Ah.. Manyerere Jackton a.k.a mzee wa "people's power"!

    Hao ndio wazee wa mji, ukitaka mambo yaende sawa lazma uwaone vinginevyo watakupoteza kwenye ramani ya siasa usionekane!(hawaandiki habari zako)

    Ndio UWAMSHO wenyewe wa Bara hao, wanaotaka mawaziri hata 9 watoke mkoa mmoja eti wengine hawakusoma.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.