Habari za Punde

PPF Yamwaga Vifaa vya Michezo Jimbo la Chumbuni Zenj.

 AFISA Uhusiano wa PPF Anthony Mtaka (kushoto) akimkabidhi seti za jezi, Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Pereira Ame Silima, kwa ajili ya timu za jimbo lake ili kudumisha michezo kwa Vijana wa jimbo hilo, wakati wa mchezo wa Fainal wa Kombe la Mbunge, makabidhiano hayo yamefanyika katika uwanja wa mpira wa Avyenja  Chumbuni.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.