Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Afaya Majumuisho ya Ziara yake Kusini Unguja.

 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja alipowasili katika viwanja vya Chuo Kuu cha Tunguu kwa majumuisho ya Ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea ukumbi wa Mkutano wa Aboud Jumbe Mwinyi katika Chuo Kikuu cha Tunguu Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutrubia Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa  Kusini Unguja, baada ya kumaliza ziara yke katika Mkoa huo, kuangalia shughuli za Maendeleo za Mkoa.  

 Viongozi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar akitowa hutuba yake ya majumuisho ya Ziara yake, katika Mkoa wa Kusini Unguja kwa kutembelea Wilaya mbili za mkoa huo Wilaya ya Kati na Kusini.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.