Habari za Punde

Waziri Aboud Akutana na Maaskofu wa Tanzania Ofisini kwake Vuga

Askofu Mkuu wa Tanzania Dk.Mokiwa  akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi yaMakamu wa Pili wa  Rais Mohammed Aboud, walipofika Ofisi hapo kwa ajili ya mazungumzo na Waziri kuhusiana na vurugu zilizoyokea wiki iliopita na kusababisha uharibifu na uvyunjaji wa makanisa katika sehemu mbalimbali na mali za baadhi ya wananchi kuharibiwa.kutokana na vurugu hiyo. 
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud, akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Makanisa Tanzania  ukiongozwa na Askofu Mkuu wa Tanzania Dk. Mokiwa, uliofika Ofisini kwake kwa mazungumzo.mjini Zanzibar.
 Maaskofu wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,akitowa maelezo kwa ujumbe huu ulipofika Ofisini kwake Vuga. 

Waandishi wakiwa katika harakati za kazi zao ili kuwahabarisha Wananchi mambo yaliokuwa yakizungumzwa katika mkutano huo

2 comments:

  1. Hawatowacha fitna zao mpaka wawahakikishe Wa Zanzibari wanafuata dini zao kikafiri christian hapo ndio watakuwa rafiki zenu....Amkeni viongozi wa Zanzibar kama bado mmelala mpango wote hapo Zanzibar lazima mila za kiislamu ziondoke

    ReplyDelete
  2. ZANZIBAR NI NCHI YA KIISLAM HA2TAKI M2LETEE DINI ZENU ZICZO NA UTARATIBU WA MAISHA. KWA MAANA HIYO WAISLAM 2TAENDELEA KUTOKOMEZA KANISA MOJA MOJA MPAKA 2HAKIKISHE HAYAPO. TAKBIIIIR

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.