Habari za Punde

Mawaziri wa Mazingira Tz Wakutana na Ban Ki- Moon


Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, akipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (kushoto) Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanzibar, Fatma Fereji (wa pili kushoto) wakati walipokutana katika hafla ya chakula cha jioni, iliyoandaliwa na Rais wa Brazil kwa viongozi waliohudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) uliomalizika mwishoni mwa wiki Jijini Rio de Jeneiro, nchini Brazil. Picha na- OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.