KATIBU wa Kamati ya Central Taifa Abdullah Thabit (kulia), akikabidhi kikombe cha ubingwa wa Ligi ya Central Wilaya ya Mjini kwa nahodha wa timu ya Shangani FC iliyofanikiwa kutwaa ubingwa huo kwa kuifunga New Generation mabao 2-0 mwishOni mwa wiki kwenye uwanja wa Mao Dzedong. (Picha kwa hisani ya Kamati ya Central Mjini).
SERIKALI KUNUNUA TANI LAKI 2 ZA MBOLEA VIWANDA VYA NDANI.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe amesema katika kuhakikisha wanalinda
viwanda vya ndani Serikali imejipanga kununua ...
27 minutes ago
No comments:
Post a Comment