Habari za Punde

Dk Shein Akutana na Wabunge wa Zanzibar Ikulu


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea juzi ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea juzi ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.