Kadhi Mkuu wa Zanzibar Khamis Haji Khamis na Viongozi wa Jumuiya za Dini Zanzibar wakisalia maiti zilizotambuliwa na jamaa zao kwa ajili ya kwend kuzika na zile ambazo hazikutambuliwa huzikwa na Serekali katika Makaburi ya Kama.
Mananchi Raia wa Kenya wakiwa katika viwanja vya maisara wkipanga utaratibu wa kuweza kuisafirisha maiti ya ndugu yao Matina Masila, aliyefarika katika ajali ya hiyo, wakisugiri utaratibu unaofanywa na Kitengo cha Maafa Zanzibar.
Mbunge wa jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni kiwa na wananchi wa jimbo lake waliofika katika viwanja vya maisara ili kutambua miili ya jamaa zao.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliofika katika viwanja vya maisara vilivyotengwa kwa ajili kutambua miili ya marehemu wa ajali ya boti iliotokea juzi katika bahari ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment