Habari za Punde

hatimai ukuta wajengwa baada ya muda mrefu .

Mafundi wakijenga ukuta ili kuzuiya uharibifu wa mazingira unaofanywa na maji ya bahari, na kusababisha sehemu kubwa ya eneo hilo kuliwa na bahari katika sehemu ya jirani na msikiti mabuluu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.