Habari za Punde

Majeruhi wa Mv Skagit Waendelea na Matibabu Hospitali Kuu Mnazimmoja

~Waandishi wa Habari mbalimbali wakimuhoji Dk.Ahmed Makata Mchunguzi Mtaalamu wachanzo cha Vifo Jeshi la Polisi Dare es salaam kuhusiana na Taratibu zinazoendelea katika Viwanja vya Maisara zinazowekwa maiti za ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na kisiwa cha Chumbe Zanzibar.

Baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar wakiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Zanzibar na hali zao zinaendelea Vizuri.

Wanachi mbalimbali wakiangalia Picha za Marehemu waliofariki kutokana na ajali ya Meli ya Mv,Skagit ili kila mwenye maiti yake aweze kuitanbua na kufanya taratibu za Kuichua kwa ajili ya Mazishi hapo katika Viwanja vya Maisara Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.