Habari za Punde

Picha zaidi maafa ya meli

Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika meli iliyozama hawa ni baadhi ya waliosalimika


Abiria waliookolewa kutoka katika meli iliozama ya Skagit katika bahari ya Chumbe Zanzibar
Abiria aliyeokoka kutoka katika meli iliyozama

Abiria aliyookoka katika Meli iliozama ya Skagit akifarijiwa na Jamaa zake Baada ya kuteremka katika Meli iliowaokoa hapo Bandarini




Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Hamad Masoud Hamad akiwa katika hali ya huzuni Baada ya kushiriki katika uokoaji na kuwaona Majeruhiwaliookolewa katika Meli iliozama ya skagit wakiteremka hapo Bandarini Zanzibar.
Askari wa Vikosi mbalimbali wakiwa katika kazi ya Uokozi kwa Abiria waliokuwa katika Meli ya Skagit ambayo iliozama katika ikiwa imebeba abiria 250 huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar

Picha zote na Yussuf Simai Maelezo

2 comments:

  1. Poleni sana ndugu zetu wote mlioguswa na ajali hii. Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete
  2. zanzibar na bara sote ni ndugu . kwa shida na raha . poleni sana kwa msiba huo wote mlioathirika . amen

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.