Habari za Punde

Ufungaji wa mafunzo ya wakufunzi wa sensa ya watu na makaazi


Baadhi ya Wakufunzi wa Sensa ya watu na Makaazi wakiwa katika Ufungaji wa Mafunzo hayo yaliochukua karibu wiki Mbili huko katika Ukumbi wa chuo Kikuu Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kusini ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akitoa hutuba ya Ufungaji wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya watu na Makaazi Huko katika Ukumbi wa chuo Kikuu Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.Kulia kwake ni Kamisaa wa Sensa Zanzibar Mwalim Haji Ameir na Kushoto yake ni Afisa Tawala wa Mkoa wa Kusini Unguja Sabri Abdalla Ali.


Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kusini ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akiwa katika Picha ya Pamoja na Wakufunzi wa Mafunzo ya Sensa ya Watu na Makaazi Zanzibar.

 PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.