AFISA Uhusiano wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ , Mwanaharusi Ali Mohammed, akimkabidhi Saruji mifuko 200 ya Saruji Mwalim Mkuu wa Skuli ya Uweleni Shehe Hassan kwa ajili ya Ujenzi wa Madarasa ya Skuli hiyo, makabidhino hayo yamefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo.
Afisa Uhusiano wa Benki ya Watu wa Zanzibar Mwanaharusi Ali Mohammed, akitowa maelezo ya huduma zinazotolewa na Benki hiyo wakati wa kukabidhi saruji kwa Skuli ya Ueleni Pemba kwa ajili ya Ujenzi wa Madarasa la Skuli hiyo.
No comments:
Post a Comment