Habari za Punde

Mabalozi wa Korea na Ujerumani wakutana na Dk Shein Ikulu


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Johnny Flento,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa mazungumzo na Rais. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais, Ikulu Mjini Zanzibar leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Johnny Flento,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa mazungumzo na Rais


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Johnny Flento,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, baada ya mazungumzo yao

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.