Ujumbe wa wanahabari kuytoka Mkoa wa Manyara (Manyara Press Club) ukisoma magazeti ya Zanzibar Leo, huko Afisi ndogo ya Shirika la Magazeti ya Serikali Chake chake Kisiwani Pemba, wakati ujmbe huo ulipotembelea Afisi hiyo hapo jana kweye ziara yao maalum (picha na Abdi Suleiman PPC )
MWANDISHI wa Habari Shirika la Magazeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, linalochapisha magazeti ya Zanzibar Leo na Zanzibar Leo Jumapili, Haji Nassor alievaa kofia, akiwapa zawadi ya Magazeti uongozi wa Klabu ya Waandishi wa Habari kutoka Mkoa wa Manyara Tanzania bara, (Manyara Press Club) wakati ujumbe huo uliokuwa chini Pemba Press Club na ulipotembelea Afisi ndogo ya Shirika hilo Pemba hapo jana (picha na Abdi Suleiman PPC)
No comments:
Post a Comment