Habari za Punde

Mbunge Mstaafu wa Chonga Atowa Magodoro Chake Hospital.

 MBUNGE Mstaafu wa jimbo la Chonga CUF, Hemed Mohammed mwenye suti nyeusi akikabidhi magodoro kwa ajili ya Hospital Kuu ya Chakechake hivi karibuni, akimkabidhi Afisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Mkasha Hija Mkasha, jumla ya Magodoro na Mashuka 200.
  Afisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Mkasha Hija Mkasha, akitowa shukrani baada ya kupokea magodoro hayo yaliokabidhiwa kwa ajili ya matumizi ya Hosp[itali hiyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.