Habari za Punde

Msako wa Vyombo Vinavyotembea Bila ya Sheria. ya Barabara.

 BAADHI ya Baskeli na Vyombo vya moto vilivyokamatwa katika msako wa kukamata vyombo vya moto vinavyotembea bila ya kukamilishwa utaratibu wa kutembea barabarani, vikiwa katika Kituo cha Polisi Madungu Chakechake Pemba, wahusika wakisibiri kufikishwa katika vyombom vya sheria.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.