Habari za Punde

Mkutano wa Press Club Pemba.

RAIS wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Tanzania akizungumza na Waandishi wa habari wa Pemba Press Club wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa PPC, ukumbi wa magofu Chakechake Pemba, Mwenyekiti wa PPC Khatib Juma Mjaja na kulia Mwenyekiti Kamati ya Uchaguzi wa PPC Rashid Abeid.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.