Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Afunga Kikao cha Baraza la Wawakilishi kupitisha Bajeti Zanzibar.

 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisoma hutuba ya kufunga Kikao cha Bajeti kwa mwaka 2012/2013 bada ya kupitisha Bajeti za Wizara za Serekali ya Mapinduzi Zanzibar.
 
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakmsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisoma hutuba ya kufungwa kwa Kikao cha Bajeti ya Serekali kwa Mwaka 2012/2013, baada ya kumaliza kupitisha Bajeti za Wizara za Serekali ya Mapinduzi Zanzibar leo 10-8-2012

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.