Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azindua Mashine ya Kuvunia Mpunga Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Sham,ba la Serekali Bambi kwa ajili ya kuzinduwa Mashine za Kufunia Mpunga Kitaalam.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi na wakulima wa mpunga wa maeneo mbali mbali baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa mashine za kuvunia mpunga (Combine Harvester), hukosShamba la kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja jana 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti w Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika moja ya Mashine ya kuvunia Mpunga akiizinduwa katika Kijiji cha Bambi Wilaya ya Kati Unguja.Mkoa wa Kusini.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (wa sita kushoto)akiangalia mashine ya kuvunia mpunga (Combine Harvester) baada ya kufanya uzinduzi wa mashine hizo 14, zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuimarisha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika shamba la mbegu Bambi , Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja jana

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto), akiangalia mpunga ukitoka katika mashine ya kuvunia mpunga (Combine Harvester), baada ya kuzindua mashine hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja jana

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Zanzibar Tafani na katikati Waziri wa Kilimo na Maliasili Zanzibar Suleiman Othman Nyanga. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto), akiangalia mpunga uliovunwa kwa kutumia mashine ya kuvunia mpunga (Combine Harvester), baada ya kuzindua mashine hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja jana. (Picha na Ramadhan
Othman, Ikulu).

1 comment:

  1. HIYO COMBINED HARVESTER MUIFANYIE "REVERSE ENGINEERING" KWA LUGHA YA KWETU TUKOPI KAMA ILIVYO NA TUBADIRISHE BRAND TU.NCHI YA KOREA KUSINI, CHINA, MALAYSIA NDIVO WANAVYOFANYA. WAANZISHE HICHO KITENGO CHA KUFANYA REVERSE ENGINEERING PALE SUZA KWA KUANZA NA HII MASHINE.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.