Shekh Fadhil Soraga akitowa hutba ya Sala ya Eid Fitry iliosaliwa Kitaifa katika Msikiti wa Muembeshauri Mjini Zanzibar.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakisikitila hutba ya Sala ya Eid Fitry ikisomwa na Shekh. Fadhil Soraga katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Muembeshauri Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad baada ya kumaliza Sala ya Eid iliosaliwa msikiti Mkuu wa Ijumaa Muembeshauri Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis nje ya Msikiti wa Ijumaa Muembeshauri Zanzibar. baada ya kumalizika kwa sala ya Eid- El- Fitry
No comments:
Post a Comment