Habari za Punde

Waziri wa Biashara Masoko Amkabidhiu Baskeli Mwalim Mkuu Mstaafu Pemba.


 WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Mazrui, akiijaribu baskeli hiyo kabla ya kumkabidhi muhusika,Mwalim wa Skuli ya Michakaeni Pemba. baada ya kufundisha skuli hiyo kwa muda mrefu na kustaafu.
WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Mazrui, akimpongeza Mwalim wa Skuli ya Michakaeni Pemba baada ya kufundisha skuli hiyo kwa muda mrefu na kufikia muda wa kustaafu, wakati wa sherehe za kumkabidhi Baskeli Mwalim huyu makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya Skuli ya Michakaani Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.