Habari za Punde

Zoezi la Sensa ya watu na makaazi likiendelea Mjini Magharibi


Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Hassan Mussa Takrima akizungumza na Wandishi wa Habari kuhusiana na zoezi la Sensa hapo katika Ofisi yake Mwera Mjini Zanzibar.

Karani wa Sensa Mosi Makame Haji akifanya kazi yake ya kuwaandika watu katika Shehiya ya Kihinani Mkoa wa Mjini Magharibi katika zoezi la Sensa linaloendea nchini Kote.

Baadhi ya Makarani wa Sensa wakiwa katika kazi ya kuweka nambari sawa katika madodoso baada ya kuwaandika watu katika zoezi la Sensa linaloendelea Nchini kote. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.