Habari za Punde

Zoezi la uandikishaji Sensa ya watu na makaazi laendelea vizuri Kaskazini B Unguja



Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini "B" Hamis Jabir Makame akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Zoezi la Sensa linaloendelea katika Mikoa na Wilaya Nchini kote,ambapo katika Wilaya hiyo zoezi hilo linakwenda vizuri.

Karani wa Sensa akiwa katika kazi ya kuwaandika watu katika kitongoji cha Kiongwe Mkwambani Shehia ya Mafufuni Bumbwini ambapo watu wa kijiji hicho awali waligoma kuandikisha kutokana na madai ya Elimu ya uwandikishaji kutokuwafikia vya kutosha.

 PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.