Habari za Punde

Chuoni yatoka sare na KMKM 2-2

 MCHEZAJI wa timu ya Chuoni Shaban Moka akimpita beki wa timu ya Kmkm Makame Nuhu, katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan, timu hizo zimetoka sare ya 2--2.
 WACHEZAJI wa timu ya Chuoni wakishangilia goli lao la pili katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan.
 GOLIKIPA wa timu ya KMKM akiokoa moja ya hatari golini kwake wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya 2--2
  MSHAMBULIAJI wa timu ya Chuoni akiambaa na mpira huku beki wa timu ya KMKM, akijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar.
 BEKI wa timu ya KMKM, akimiliki mpira huku mshambuliaji wa timu ya Chuoni akijaribu kumzuiya
WACHEZAJI wa timu ya Chuoni wakimzonga muamuzi wa mchezo huo kwa uchezeshaji wake kupendelea upande mmoja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.