Habari za Punde

China yakabidhi vitabu na programu za kichina kwa ZBC

 Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk akihutubia baada ya kukabidhiwa Vitabu Mbalimbali na Program za Kichina na Balozi Mdogo wa China alioko Zanzibar Chen Qiman,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Kikwajuni Zanzibar.
 Balozi Mdogo wa China alioko Zanzibar Chen Qiman (kulia) akizungumza pamoja na Mkurugenzi wa ZBC Radio Rafii Haji huko katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Kikwajuni Zanzibar
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk (kulia)akizungumza na Balozi Mdogo wa China alioko Zanzibar Chen Qiman katika hafla ya kukabidhiwa Vitabu mbalimbali na Program za Kichina huko katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Kikwajuni Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.