Habari za Punde

Maalim Seif aliponguruma Meli nne

 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magirisi Melinne, jimbo la Mwanakwerekwe.
 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magirisi Melinne, jimbo la Mwanakwerekwe.
 Wafuasi na wapenzi wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magirisi Melinne, jimbo la Mwanakwerekwe
 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi kadi kwa wanachama wapya walioamua kujiunga na Chama hicho huko viwanja vya Magirisi Melinne, jimbo la Mwanakwerekwe

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Hamad Massoud Hamad akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magirisi Melinne, jimbo la Mwanakwerekwe. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.