Habari za Punde

Elimu kwa Watu Wenye Sukari Kijiji cha Kidoti Zanzibar

 Daktari dhamana wa kitengo cha Ugonjwa wa Kisukari Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Dakta Faiza Kassim aliyesimama akitoa elimu na ushauri nasaha kwa wanakijiji wa Matemwe kuhusu kujikinga na ugonjwa wa kisukari.
Daktari dhamana msaidizi wa kitengo cha ugonjwa kisukari hospitali kuu ya mnazi moja dokta Miskia Ali Mohammed akionyesha picha ya mfano wa mgonjwa aliyeathirika na ugonjwa wa kisukari, huko katika kijiji cha kidoti wanakijiji hawapo pichani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.