Mkurugenzi wa PBZ kitengo cha huduma za Benki ya Kiislam (Islamic Banking Division) , Salum Mbwana hatunaye tena amepata ajali ya gari hivi jioni (magharibi) na kufariki papo hapo.
Maiti imepelekwa hospitali ya rufaa Mnazimmoja na inatarajiwa kufanyiwa uchunguzi kesho asubuhi tukijaaliwa
Maziko saa kumi alaasiri maiti ataondokea meli nne mashine ya maji na kuzikwa kwerekwe nyoote mnaarifiwa msiba huu.
Marehemu huyu kwa miaka mingi pia aliwahi kuitumikia BOT , hata aliwahi kuikodi Mv. Maendeleo wakati serikali ilipoamua huibinafsisha, na kwasasa alikua ni mkurugenzi PBZ kwa uteuzi wa Rais Shein.
Mungu ailaze roho yake mahali pema aamin
Maziko saa kumi alaasiri maiti ataondokea meli nne mashine ya maji na kuzikwa kwerekwe nyoote mnaarifiwa msiba huu, marehemu huyu kwa miaka mingi pia aliwahi kuitumikia NBC bank, hata aliwahi kuikodi Mv. Maendeleo wakati serikali ilipoamua huibinafsisha, na kwasasa alikua ni mkurugenzi PBZ kwa uteuzi wa Rais Shein.
ReplyDeleteMungu ailaze roho yake mahali pema aamin
Shukran Mdau kwa maelezo ya ziada tumeyaambatanisha kwenye habari yenyewe
ReplyDeleteSio NBC ni BOT amefanya kazi kwa zaidi ya miaka 15 amehamia PBZ mwezi April 2012
ReplyDelete