Habari za Punde

Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Hesabu za Serekali PAC

 Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serekali Zanzibar PAC,Omar Ali Shehe, akipitia kabrasha la  Wizara ya Habari baada ya ziara kutembelea taasisi za wizara hiyo. 

Wajumbe wa Kamati wakipitia Kabrasha.

 Wajumbe wa Kamati ya PAC, wakimsikiliza Mkurugenzi Mipango Uendeshaji Joseph Kilangi, akitowa maelezo kwa niaba ya Katibu Mkuu .
 Viongozi wa Wizara ya Habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serekali PAC,
Mkurugenzi Mipango na Uendeshaji Joseph Kilangi akitowa maelezo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC baada ya kumaliza kutembela Taasisi  na Idara za Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo, katika ukumbi wa Idara ya Habari MaelezoMnazi Mmmoja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.