Habari za Punde

Serikali yawasilisha pingamizi kesi ya viongozi wa uamsho

Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mkusa Isack Sepetu amekubali ombi la upande wa mashitaka, kuwasilisha pingamizi dhidi ya kesi ya viongozi wa Uamsho, kuwa imefunguliwa kinyume na sheria.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.