Habari za Punde

Maazimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano wa Watu wa Palestina.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya mshikamano wa watu wa Palestina  hapo katika bwalo la Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Tunguu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia maonyesho ya picha katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya mshikamano wa watu wa Palestina yaliyofanyika katika Viunga vya chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar { SUZA } hapo Tunguu Wilaya ya Kati.
 Balozi wa Palestina Nchini Tanzania Bwana Nasir Abujaish akimpatia zawadi maalum mgeni rasmi wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mashikamano wa watu wa Palestina Balozi Seif Ali Iddi hapo katika Bwalo la Chuo Kikuu cha Taiofa cha Zanzibar { SUZA } kiliopo Tunguu
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi SeiF Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbali wa Kitaifa na Kimataifa  walioshiriki katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mshikamano wa watu wa Palestina.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.