Vijana wakiwa katika mchezo wa kurusha Pikipiki maarufu katika mji wa zanzibar vijana hawa kuonesha manjonjo yao katika barabara za mjini maeneo ya michezani, na wiki end huonesha show hiyo katika maeneo ya shamba kama alivyotuletea mdau wetu Osama picha hizo alipokuwa katika matembezi yake huko. Huyu Kijana ni mlemavu wa miguu ane akionesha manjonjo yake akiwa na pikipiki ya maringi manne
JAJI MUTUNGI AWATAHADHARISHA WANANCHI MATUMIZI YA AI
-
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Fransis Mutungi amewataka
wananchi wawe makini na matumizi ya akili bandia au akili unde (AI), na
habari za uongo...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment