Habari za Punde

Rais Kikwete akutana na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (Diaspora) waliowaalika kwa chakula cha mchana Ikulu ndogo mjini Dodoma Jumatano Novemba 14, 2012. Viongozi hao kutoka Marekani, Italy, Uingereza Afrika kusini na India walihudhuria katika Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM uliomalizika juzi Kizota.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.