Makamu wa Rais Dk. Mohammed Galib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tabora mjini,Siraju Kaboyonga, aliyefariki dunia juzi na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam. Makamu alifika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Sinza jijini Dar es Salaam jana.Katikati ni Balozi Mstaafu, Hashim Mbita na Mwenyekiti wa Chama cha Cuf, Prof.Ibrahim Lipumba.Picha na OMR
Makamu wa Rais akiagana na waombolezaji wakati akiondoka eneo hilo
uzinduzi wa Ushirika Online TV katika hafla ya kilele cha maadhimisho ya
siku ya Ushirika duniani
-
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akibonyeza
kitufe kuashiria uzinduzi wa Ushirika Online TV katika hafla ya kilele cha
maad...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment