Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Mwadini Makame,(kulia) akitoa taarifa ya utekelezaji wa Kazi za Wizara hiyo,katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ukujumuisha na watendaji katika ukumbi wa Mkutano wa Ikulu Mjini Zanzibar,ikiwa ni mfululizo kwa kila Wizara kuzungumzia utekelezaji wa kazi zake
Watendaji katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment