Habari za Punde

Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya CCM yakutana Zanzibar

 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana,wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM
Kisiwandui,kushiriki katika kikao cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,(katikati) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
  Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakipitia ajenda za Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika Mjini Dodoma
 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana,(wapili kushoto) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakiimba wimbo wa Chama wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui, katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar, kilichofanyika leo
 Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika
Mjini Dodoma
  Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika
Mjini Dodoma
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,akiongoza Kikao cha siku Moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika
ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ikiwa ni kikao chake cha kwanza tokea kushika nafasi ya Makamo baada ya Uchaguzi Mkuu uliopita hivi Karibuni Mjini Dodoma,(kushoto) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana.
 
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

2 comments:

  1. Ndugu muwasilishaji wa hizi picha,

    Kikao kilikuwa na mada gani na wajumbe wamesemaje? Hatimae maamuzi au majumuisho ya kikao yamekuwaje? au ndio wamekuja kupiga picha tu kama ulivyotuekea hapa?

    Picha za hawa watu tunazo na sura zao tunazijua, jee kuna kitu kipya walichokisema? hebu tueleze kama ulikuweko huko kikaoni au muulize huyu aliyekupa hizi picha tunahitaji kufahamu hilo kwa maslahi ya nchi yetu?

    ReplyDelete
  2. Chonde chonde baba,

    Nimekufahamu ila uelewe katika fani ya uandishi kuna wapiga picha ambao ni mbali na waandishi wa habari nao ni watu tofauti. Kila mmoja huwakilisha sekta yake. kama mimi ni mpiga picha hiyo ndiyo kazi yangu as professional ingawa nina uzoefu fulani wa uandishi.

    Hivyo tunapoletewa hizi picha inategemea wakati tukio hili lilipotokezea je na mwandishi alikuwepo? hapo ndipo hupata full story kutoka kwa mpiga picha za mnato na mwandishi na pia kama kutakuwa na upande wa video au TV vile vile

    Kama hatukupata sehemu zote hizo sisi huweka tuliojaaliwa na kama tukipata pia huziweka zote nakumbuka nyuma uliwahi kutoa shukurani kwenye stori ya Zanzibar heroes kwamba uliona picha na habari.
    Any way wengine hupendelea zaidi picha kwani they tell more than the story can do Wengine hupenda story zaidi kuliko picha.
    Natumai mdau umenielewa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.