Habari za Punde

Dk Shein ashiriki dhifa maalum ya kupngezwa vijana wa Halaiki katika maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi

 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akipata Chakula katika Dhifa maalum alioiandaa kwa ajili ya kuwapongeza na kula chakula pamoja nao Vijana wa Halaiki na walimu wao waliofanikisha katika Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar.
 Vijana wa Halaiki wakipata Dhifa Maalum ilioandaliwa kwa ajili ya Kuwapongeza kwa kufanikisha Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar.
 Vijana wa Halaiki wakipata Dhifa Maalum ilioandaliwa kwa ajili ya Kuwapongeza kwa kufanikisha Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar.
 Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame akitoa hotuba ya Shukurani kwa niaba ya Rais kwa Vijana wa Halaiki pamoja na Walimu wao kwa kufanikisha Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu mbalimbali pamoja na Viongozi wa Vijana wa Halaiki waliohudhuria katika Dhifa ya Pamoja ilioandaliwa hapo Bwawani Hotel Zanzibar
Viongozi wa Halaiki waliohudhuria katika dhifa ya pamoja na Rais wa Zanzibar ilioandaliwa hapo Bwawani Hotel Zanzibar

Picha zote na Yussuf Simai , Maelezo

1 comment:

  1. Hawa Wahafidhuna Wanoitwa Wakuu wa halaiki hawana Nguo nyengine za kuvaa isipokua Magwanda ya Kijangili na Ukiritimba????

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.