Habari za Punde

Kamati ya Bunge ya sheria na utawala yakutana na Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano)

  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Katiba Sheria na Utawala Pindi Hazara Chana akizungumza na Wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu Masuala ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka ,2012/2013 kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Risi Muungano Samia Suluhu Hassan,Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charls Kitwanga ,Katkbu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula.kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Tume za Haki za Kibinadam Mtaa wa Luthuli Jiji Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano akimsikiliza kwa Makini Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba Sheria na Utawala alipokuwa akizungumza na ujumbe wa Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu Masuala ya Bajeti ya Mwaka 2012/2013 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Tume ya Haki za Kibinadam Mtaa wa Luthuli Jiji Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja}
\

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.