Habari za Punde

Maonesho ya Biashara ya Wasiria Bwawani leo




 Maonesho ya Bidhaa kutoka kwa Wafanyabiashara wa Wasiria yamefunguliwa leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani,Wananchi wakitembelea maomesho hayo na kununua bidhaa hizo.
 Mfanyabiashara wa Siria akiweka bidhaa zake sawa wakati wa maonesho ya bidhaa hizo katika ukumbi wa salama bwawani yamefunguliwa leo.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.