
Baadhi ya akinamama waliofika katika soko la Jumapili wakionesha kuvutiwa na mikoba na makawa bidhaa zinazotengenezwa na akinamama wenzao kama wanvyoonekana katika picha.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Juma Kassim Tindwa akionesha kupendezwa kupendezwa na Kawa ambalo lilikuwa limenjari kwenye Soko la Jumapili likisubiri mteja

Waziri wa Biashara , viwanda na masoko Mhe Mazrui akijipepea baada ya kuzinfua soko la Jumapili kisiwani Pemba ambapo kesho litakuwepo kwenye viwanja vya Tennis Chake chake
Picha zote na Abdul Suleiman, Pemba
No comments:
Post a Comment