Habari za Punde

Katibu Mkuu Miundombinu atembelea Karakana kuu ya Serikali

Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Maliki Juma Akili akipata maelezo kutoka kwa fundi Tall wa Karakana ktk sehemu ya kipimo cha Injector pump alipokuwa akigagua shuhuli mbali mbali za Karakana Kuu ya Serekali ya Zanzibar.
Picha na Nafisa M.Ali-Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.