Habari za Punde

Mradi wa kuwapatia mlo wa mchana (lunch) skuli ya Kusini unakuja

Mratibu wa Jumuiya ya Maendeleo Mzuri Kaja,Mohammed Muombwa  wa saba kutoka kushoto, akiwa na wadau kutoka mji wa Sundsvall, nchini Sweden ambao wanataka kuanzisha mradi wa kuwapatia mlo wa mchana wanafunzi wa skuli ya Kusini, Makunduchi. Mradi huu utakapoanza utawanufaisha wanafunzi zaidi ya 700. Mlo utakaotolewa utazingatia virutubisho ili ujenge siha ya wanafunzi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.