Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kama inavyosomeka timu ya KMKM ikiongoza ligi hiyo ikifuatiwa na Mafunzo.
Mchezaji wa timu ya Mafunzo akimpita mchezaji wa timu ya Super Falcon katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Super Falcon imeshinda 2--1
Meneja wa Timu ya Superb Falcon Hafidh Suleiman, akisali baada timu yake kuandika bao la pili na la ushindi kwa timu yake dhidi ya timu ya Mafunzo, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar l
Wadau wa mchezo wa mpira katika uwanja wa Mao wakiishangilia timu ya Super Falcon ilioshinda katika mchezo huo, Wadau hawa hawana timu maalum timu inayoshinda ndio timu yao na kuipa sapoti.
Wachezaji wa timu ya Super Falcon wakitoka uwanjani kivua mbele kwa kuifunga Timu ya Mafunzo kwa mabao 2--1
Nahodha wa timu ya Super Falcon akizungumzia na waandishi wa habari kuhusu mchezo wao na timu ya mMafunzo kwa kuibuka na ushindi wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao.
Do!! Uwanja umechoka!! aibu yaani!! viongozi mpoo!! au mpo mpo!! Mdau Leicester. v Shuully shuliy.
ReplyDelete