Habari za Punde

Huduma ya Ununuzi Umeme Michezani

Wananchi wakipata huduma ya kununua umeme katika kituo cha Tukuza michezani, Kituo hicho hutowa huduma ya mannunuzi ya Umeme hadi saa nne usiku, na wananchi wanataka huduma hiyo iegezwe muda hadi saa tano usiku. ili waweze kupata huduma hiyo kwa uhakika wakati wanapochelewa makazini. 

1 comment:

  1. kwa nini wasiongeze vituo vingine ili kupunguza msongamano!! au maduka ya kawaida tu yawe yanauza umeme?? kama huku uk? Wacheni ukoloni huo!!!! mdau Leicester. Shemejii!! Maladu ladu!! mijichipsi!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.